• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya Airbus kupunguza nafasi elfu 15 za ajira

    (GMT+08:00) 2020-07-01 09:22:50

    Kampuni ya utengenezaji ndege ya Ulaya Airbus imetangaza kuwa, itapunguza nafasi elfu 15 za ajira duniani ili kukabiliana na athari za janga la maambukizi ya COVID-19, ikiwemo nafasi 5,100 nchini Ujerumani, na 5,000 nchini Ufaransa. Taarifa iliyotolewa jana na kampuni hiyo inasema, sekta ya usafiri wa ndege imeathirika zaidi na janga hilo, na inatabiri kwamba, sekta hiyo haitarudi katika hali ya kawaida kabla ya mwaka 2023, hivyo kampuni hiyo itaendelea kuchukua hatua nyingine za kubana matumizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako