• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji 11 wa IS wauawa Iraq

    (GMT+08:00) 2020-07-01 09:23:31

    Jeshi la Iraq limesema, muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani umefanya mashambulizi ya anga dhidi ya kambi moja ya kundi la IS mkoani Nineveh, kaskazini mwa Iraq na kuwaua wapiganaji 11. Iraq ilitangaza ushindi wa kihistoria katika mapambano na kundi la IS mwezi Desemba mwaka 2017, lakini hivi karibuni wapiganaji waliobaki wa kundi hilo wamefanya mashmbulizi kadhaa nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako