• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yajiunga na Muungano wa Umoja wa Mataifa wa kuondoa umaskini

  (GMT+08:00) 2020-07-02 08:59:43

  Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Tijani Muhammad-Bande amezindua muungano wa kuondoa umaskini kwenye mkutano uliofanyika Jumanne kwa njia ya video. China ikiwa nchi mwanzilishi imejiunga na muungano huo. Kwenye mkutano huo, balozi wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun amesema, China inafanya juhudi kusukuma mbele ushirikiano wa Kusini na Kusini, kusaidia nchi husika kuongeza ajira na kuboresha maisha ya watu kutokana na kutekeleza pendekezo la "Ukanda Mmoja Njia Moja", na kutoa mbinu mbalimbali za kukabiliana na athari za maambukizi ya COVID-19. Aliongeza kuwa China inapenda kutoa mchango kwa kazi ya kuondoa umaskini duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako