• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza aitaka Israel iache mpango wa kukalia eneo la kando ya Magharibi ya Mto Jordan

    (GMT+08:00) 2020-07-02 09:00:56

    Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameitaka serikali ya Israel isimamishe mpango wa kukalia sehemu ya kando ya Magharibi ya Mto Jordan, badala yake itatue masuala kwa mazungumzo na Palestina. Kwenye makala yake iliyochapishwa jana katika gazeti la kiyahudi Yediot Aharonot nchini Israel, Bw Johnson amesema hatua hiyo ya Israel ni kinyme cha sheria ya kimataifa, pia inatishia usalama wa Israel yenyewe na juhudi za kimataifa za kuleta amani katika kanda ya Mashariki ya Kati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako