• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maofisa waandamizi wa Russia na NATO wajadili usalama wa Ulaya na COVID-19

  (GMT+08:00) 2020-07-03 09:06:42

  Mkuu wa majeshi ya ulinzi ya Russia Valery Gerasimov na mwenyekiti wa Kamati ya kijeshi ya Jumuiya ya NATO Stuart Peach wamefanya mazungumzo kwa simu, wakijadili hali ilivyo kuhusu usalama wa Ulaya na udhibiti wa silaha. Taarifa iliyotolewa na wizara ya ulinzi ya Russia inasema, masuala mengine yaliyojadiliwa ni pamoja na hatua za kukabiliana na janga la COVID-19 na jinsi ya kuzuia mikwaruzano wakati wa kutekeleza shughuli za kijeshi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako