• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tume ya Uchaguzi ya Russia yathibitisha matokeo ya kura za maoni

  (GMT+08:00) 2020-07-03 19:50:47

  Tume ya Uchaguzi ya Russia leo imethibitisha rasmi matokeo ya kura za maoni ya marekebisho 206 ya katiba.

  Mkuu wa tume ya uchaguzi Ella Pamfilovad amesema matokeo ya kura za maoni zilizopigwa kati ya Juni 25 na Julai 1 ni asilimia 67.97, ikimaanisha kwamba watu zaidi ya milioni 74 wamepiga kura.

  Ameongeza kuwa kati ya wapiga kura, asilimia 77.92 au karibu watu milioni 58 wamepiga kura ya kupitishwa kwa marekebisho hayo, huku asilimia 21.27 ama karibu watu milioni 16 wamepiga kura ya kukataa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako