• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Huawei yasema iko wazi kwa majadiliano na serikali ya Uingereza

  (GMT+08:00) 2020-07-06 08:46:08

  Kampuni ya Tehama ya China Huawei imesema kuwa iko wazi kwa majadiliano na serikali ya Uingereza, na inashirikiana kwa karibu na wateja wake kutafuta njia za kukabiliana na vizuizi itakavyowekewa na Marekani ili Uingereza iweze kudumisha mwelekeo wake wa sasa kwenye teknolojia ya 5G.

  Kauli hiyo imekuja baada ya wizara ya biashara ya Marekani kutangaza kuwa itaiwekea Huawei vizuizi vipya vya kununua vifaa vya semiconductor.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako