• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Virusi vya Corona viligunduliwa mwezi Novemba mwaka jana kwenye mifereji ya maji taka nchini Brazil

  (GMT+08:00) 2020-07-06 17:23:41

  Wataalamu wa Chuo Kikuu cha Santa Catarina cha Brazil tarehe 2 Julai walitangaza kuwa, baada ya kufanya utafiti kuhusu sampuli zilizopatikana kati ya mwezi Oktoba mwaka jana na Mwezi Machi mwaka huu, kwenye mifereji ya maji taka ya mji mkuu wa Jimbo la Santa Catarina, Florianopolism, virusi vya Corona viligunduliwa kwenye sampuli za mifereji hiyo za mwezi Novemba mwaka jana, miezi miwili kabla ya mgonjwa wa kwanza wa virusi vya Corona aliporipotiwa tarehe 21 Januari mwaka huu nchini Marekani, miezi mitatu kabla ya mtu wa kwanza kuwa na virusi hivyo alipotangazwa na serikali ya Brazil mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako