• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu zaidi ya 120 wauawa katika mashambulizi 330 ya kufyatua risasi nchini Marekani

  (GMT+08:00) 2020-07-06 18:11:56

  Wikiendi iliyopita ambayo ilikuwa siku ya taifa ya Marekani, matukio zaidi ya 330 za kufyatua risasi yalitokea nchini Marekani na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 120.

  Tarehe 4 mwezi huu, watu wasiopungua watano waliuawa katika mashambulizi mawili ya kufyatua risasi mjini Chicago. Katika usiku wa siku hiyo, mitaa nyingi mjini New York ilikumbwa na mashambulizi ya kufyatua risasi na matumizi ya visu baada ya sherehe ya fataki na kusababisha vifo vya watu 6 na wengine 30 kujeruhiwa.

  Aidha, watu wawili wauawa na wengine 8 kujeruhiwa jana katika klabu moja katika jimbo la South Carolina.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako