• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Roketi ya uchukuzi ya China Kuaizhou-11 yashindwa kurushwa

    (GMT+08:00) 2020-07-10 17:20:18

    Roketi ya uchukuzi ya China ya Kuaizhou-11 imeshindwa katika mara yake ya kwanza ya majaribio ya kuirushwa.

    Roketi hiyo ilirushwa saa 6 na dakika 17 mchana ya leo katika kituo cha kurushia saitilaiti cha Jiuquan, China, lakini ilikumbwa na matatizo ya kiufundi. Sababu halisi ya kushindwa kuruka inachunguzwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako