• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mchezaji Morrison awataka mashabiki waende uwanja wa taifa jumapili

    (GMT+08:00) 2020-07-10 19:38:21

    BAADA ya kuifungia timu yake bao pekee kwenye ushindi walioupata dhidi ya Kagera Sugar juzi, kiungo mwenye 'mbwembwe' wa klabu ya Yanga, Bernard Morrison amesema hizo ni salamu kwa wapinzani wao

    kwenye mchezo wa Jumapili wa hatua ya nusu fainali ya kombe la FA na kuwataka mashabiki wa timu hiyo kwenda uwanjani Jumapili kuwaona wakiwaadhibu Simba kwenye hatua hiyo ya nusu fainali, mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa timu hizo mbili. Morrison, alisema kuwa goli alilolifunga linampa mzuka wa kufanya vizuri kwenye mchezo unaofuata na kuisaidia timu yake kutinga hatua ya fainali ya michuano hiyo ya FA.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako