• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi Kuu ya Kenya KPL kubadili jina baada ya kupata ufadhili mpya

    (GMT+08:00) 2020-07-17 16:53:17

    Ligi Kuu ya Kenya imepata nguvu mpya baada ya kampuni ya Bahati Nasibu ya Nigeria Bet King, kukubali kuifadhili Ligi hiyo kuanzia msimu ujao. Hatua hiyo imekuja baada ya Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) kufikia makubaliano na kampuni hiyo hapo jana. Habari zinasema kampuni hiyo itatoa ufadhili wa shilingi za Kenya bilioni 1.2 katika miaka mitano ijayo, na kila timu inayoshiriki Ligi hiyo itapokea karibu shilingi milioni 8 kwa mwaka. Maendeleo hayo yanaashiria mwisho wa kipindi cha miaka miwili ya sintofahamu kwa Ligi hiyo baada ya kuondoka kwa wafadhili wa awali, Sportpesa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako