• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Afrika kusini bado halijatoa pesa kunusuru shirika la ndege

  (GMT+08:00) 2020-07-22 17:57:30

  Waziri wa fedha wa Afrika Kusini Tito Mboweni amesema serikali haijatangaza kufadhili mpango wa kusaidia shirika la ndege nchini humo lilalokumbwa na mzozo wa kifedha.

  Wasimamizi walichukua oparesheni za shirika hilo mnamo Desemba baada ya takriban muongo mmoja wa hasara.

  Wiki iliyopita wakopeshaji walidhinisha mpango wa urekebishaji, ambao unahitaji angalau dola milioni 600.

  Ripoti ya kifedha ya hadi mwezi machi mwaka huu inaonesha kuwa shirika hilo limepata hasara ya jumla ya rand bilioni 5.5 na limeendelea kupata hasara tangu Aprili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako