• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Tuskeys yapanga kuuza hisa zake

  (GMT+08:00) 2020-07-22 17:57:49

  Maduka ya Tuskeys nchini Kenya yanapanga kuuza hisa zake nyingi kwa mwekezaji wa kigeni huku maduka hayo yakikabiliwa na hali ngumu ya kifedha na madeni.

  Hata hivyo wasimamizi wa maduka hayo hawajataja mnunuzi wa hisa hizo.

  Mipango ya kuuza hisa hizo unalenga kulipa madeni kwa wasambazaji wa bidhaa ambao hawajalipwa kwa miezi kadhaa.

  Taarifa ya Mamlaka ya Ushindani ya Kenya inasema wanahisa wa Tuskys wanatafuta pia njia nyingine za kupata mtaji, ikiwa ni pamoja na kutafuta mwekezaji wa kimkakati kufikia Julai 31, 2020.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako