• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mfumo wa uongozaji wa satelite wa Beidou No. 3 wakamilika

  (GMT+08:00) 2020-07-30 10:28:14

  Hafla ya kukamilika na kuzinduliwa kwa mfumo wa uongozaji wa satelite wa Beidou No. 3 itafanyika kesho asubuhi, ambapo itahudhuriwa na rais Xi Jinping wa China.

  Kituo kikuu cha Redio na Televisheni cha China CMG kitatangaza moja kwa moja.

  Taarifa iliyotolewa jana na mamlaka ya mfumo wa uongozaji wa satelite ya China imetangaza kuwa, satelite ya 55 ambayo ni ya mwisho kwenye mfumo wa satelite ya Beidou imeanza kufanya kazi katika mtandao wa satelite baada ya kukamilisha majaribio kwenye mzunguko na tathmini ya kuingia kwenye mtandao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako