• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kijana wa Kenya aendelea na juhudi katika soka Uingereza.

    (GMT+08:00) 2020-07-30 18:46:54

    Mchezaji wa Harambee Stars Jonah Ayunga amejiunga na timu ya daraja la tatu ya Bristol Rovers kwa mkataba wa miaka mbili kutoka ya Havant isiyo ya ligi. Ayunga alifunga zaidi ya magoli 20 katika mashindano yote, na kufunga magoli 17 katika michezo 30 ya ligi msimu uliopita. Klabu ya Bristol imesema inafurahi kutangaza kumsajili mshambuliaji Yona Ayunga kwa ada isiyojulikana, na Ayunga mwenyewe ameeleza kufurahia kujiunga na Bristol Rovers. Huu ni mwendelezo wa vijana kutoka Afrika Mashiri kucheza ligi barani Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako