• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya watangaza orodha mpya ya nchi zinazofunguliwa mipaka

    (GMT+08:00) 2020-07-31 09:35:27

    Baraza la Umoja wa Ulaya limetoa taarifa ikipendekeza nchi wanachama wake kufungua tena mipaka kwa nchi 11 ikiwemo China ambayo imewekewa masharti, lakini Marekani , Brazil, Russia na India bado hazijahusishwa.

    Nchi hizo 11 ni pamoja na Australia, Canada, Georgia, Japan, Morocco, New Zealand, Rwanda, Korea Kusini, Thailand, Tunisia na Uruguay. China imewekwa sharti lenye usawa la kuthibitisha kufungua tena mipaka yake kwa raia wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako