• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bondia mkorofi wa Marekani Floyd Mayweather anafikiri kurudi ulingoni

  (GMT+08:00) 2020-07-31 17:46:26

  Bondia matata Floyd Mayweather anatajwa kufikiria kurudi ulingoni mwaka huu akiwa na umri wa miaka miaka 43, kwa kinachodaliwa kufuja dola bilioni moja alizopata kutoka kwenye mchezo wa ndondi. Bondia wa Uingereza Amir Khan amesema Floyd aliestaafu mwaka 2017 baada ya mechi 50 bila kushindwa sasa amechacha anataka kurudi ulingoni ili kupata fedha. Mayweather alitangaza kustaafu miaka mitatu iliyopita baada ya kumchapa nyota wa UFC Conor McGregor. Hivi karibuni McGregor na rafiki yake wa zamani wa Cent 50 walisema kuwa Flyod ni mtumbuaji inawezekana sasa hana kitu, ndio maana anataka kurudi ringini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako