• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona duniani yazidi milioni 18

    (GMT+08:00) 2020-08-03 19:03:24

    Takwimu zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona zinaonesha kuwa, hadi kufikia jana tarehe 2 saa 3 dakika 34 usiku kwa saa za sehemu ya mashariki ya Marekani, idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona duniani ilifikia 18,002,567, na watu 687,930 wamekufa.

    Marekani ni nchi iliyoathirika zaidi na mlipuko wa virusi hivyo duniani, ambapo watu walioambukizwa virusi vya Corona wamefikia 4,665,932, na idadi ya watu waliokufa ni 154,841.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako