• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia asilimia 60 ya rasilimali za taifa zilizofichwa nje kurudishwa

    (GMT+08:00) 2020-08-04 20:10:38
    Wakili Mkuu Adanech Abebie ametangaza kwamba imeandaa mpango wa miaka kumi unaolenga kurudisha asilimia 60 ya rasilimali za taifa zilizofichwa nje.

    Mpango huo unakusudia kurudisha tena mabilioni ya dola zilizotolewa nchini kwa njia isiyo halali.

    Kusudi kuu la mpango ni kuhakikisha haki na kuridhika kwa wateja kwa kuanzisha mashirika huru ambayo yatatoa huduma madhubuti na bora.

    Kulingana na yeye, miradi ya teknolojia ya juu na ubunifu itatengenezwa kuokoa utajiri wa Taifa ambao ulikuwa umeibiwa kwa miaka iliyopita na kufichwa nje ya nchi, mbali na kuongeza uwezo wa kusitisha majaribio ya utapeli wa pesa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako