• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania Benki mengi za tengeneza faida kubwa katika robo ya pili licha ya janga la corona

  (GMT+08:00) 2020-08-04 20:10:55
  Mabenki mengi za juu nchini Tanzania zimeripoti kutengeneza faida kubwa katika robo ya pili licha ya janga la corona amabyo inaendelea kusumbua shughuli za kiuchumi kote ulimwenguni.

  Mchanganuo wa benki zilizo na angalau Sh1 trilioni katika mali ya jumla kila moja ya benki ilionyesha kuwa saba kati ya benki kubwa 11 ziliongeza faida yao katika kipindi cha Aprili-Juni mwaka huu.

  Bodi ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania imesema wiki iliyopita kwamba sekta ya kifedha ilikuwa imara na ya kutosha kudhibiti shughuli za kiuchumi baada ya hatua za hivi karibuni za kumaliza athari za Covid-19.

  Wachumi pia wanaamini sekta hiyo itabaki imara na shughuli zaidi za kiuchumi athiriwa na Corona kama vile utalii, tayari zimeanza kuamka tena .

  Sekta ya utalii na burudani ziliathiriwa na corona Walakini, uchumi ulikua kwa asilimia 5.7 katika robo ya kwanza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako