• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya waliokufa kwa kunywa pombe bandia huko Punjab nchini India yafikia 111

  (GMT+08:00) 2020-08-05 09:57:35

  Afisa wa India amesema idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kunywa pombe bandia huko Punjab imeongezeka na kufikia 111.

  Habari zinasema polisi wa India wamemkamata mtuhumiwa mmoja anayejulikana kwa jina la Rajeev Joshi, ambaye alikiri kuwa aliuza mapipa matatu ya methanol kwa watu waliotengeneza pombe bandia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako