• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Keroche yapunguza uzalishaji

  (GMT+08:00) 2020-08-05 18:48:12
  Kampuni ya pombe ya Keroche nchini Kenya imetangaza kuendelea kupunguza uzalishaji wake kuendana na mahitaji ya bidhaa zake kipindi hili cha corona.

  Mkurungezi mkuu wa kampuni hiyo Tabitha Karanja amesema wamelazimika kuchukua hatua hiyo kutokana na kupungua kwa mauzo.

  Alisema kampuni hiyo imepunguza shughuli nyingi huku ikisalia na wafanyikazi muhimu tu kama wa huduma za matengenezo.

  Kabla ya kupunguza oparehsni zake kampuni hiyo ilikuwa imeanza kuuza bidhaa zake mtanaoni lakini haikupata mafanikio makubwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako