• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Fulham FC warudi EPL 2020/21

    (GMT+08:00) 2020-08-06 15:39:29

    Klabu ya Fulham imejihakikishia nafasi ya kurudi katika Ligi Kuu ya England (EPL) baada ya beki wao wa kushoto Joe Bryan, kufunga mabao mawili katika muda wa nyongeza. Bryan alifunga dakika ya 105 kwa mpira wa kutengwa kutoka umbali wa yadi 35, huku akionekana kama anapiga ndani ya eneo la hatari, lakini aliupiga moja kwa moja langoni na kumshinda mlinda mlango David Raya wa Brentford. Fulham inarejea katika Ligi Kuu ya EPL baada ya kushuka msimu wa 2018/19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako