• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Utalii wanoga Tanzania

  (GMT+08:00) 2020-08-06 18:40:55
  Watalii kutoka mataifa mbalimbali ya Ulaya na Asia, wameendelea kuingia nchini Tanzania,na kutembelea vivutio vya utalii, baada ya mashirika ya ndege kurudisha rasmi safari zake.

  Awali mashirika ya ndege ya kimataifa na yasiyo ya kimataifa yalisitisha safari zake kwenye nchi mbalimbali duniani kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.

  Mashirika ya ndege ambayo hadi sasa yamesharudisha safari zake nchini Tanzania, ni pamoja na shirika la ndege la Rwanda Air,Ethiopia, Qatar, Emirates na shirika la ndege la nchini Uholazi la KLM.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako