• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Afrika Kusini yapelekwa mahakani kwa kuweka marufuku ya uvutaji Sigara

  (GMT+08:00) 2020-08-07 18:34:24
  Kampuni ya Marekani ya kutengeneza sigara nchini Afrika Kusini BAT imewasilisha kesi mahakamani kupinga hatua ya serikali ya kupiga marufuku uuzaji wa sigara kwa ajili ya kupunguza kuenea kwa maambukizi ya corona. Raia wa Afrika kusini wameshindwa kununua sigara kwa njia ya haki tangu serikali ya nchi hiyo kuweka ufungaji wa kitaifa tangu mwezi machi mwaka huu. Ijapoikuwa serikali hiyo imeanza taratibu kuondoa baadhi ya maagizo marufuku ya uuzaji wa sigara umeendelea kushikiliwa.Kampuni hiyo ya Marekani inashikilia asilimia 78 ya soko la sigara nchini Afrika Kusini na iliamua kwenda mahakamani baada ya mazungumzo kati pande mbili kushindwa kuzaa matunda.Aidha kampuni hiyo imesisitiza kuwa hatua hiyo ya serikali inaikosesha serikali randi milioni 38 kila kama kodi.

  Hata hivyo mwakilishi wa serikali Andrew Breitenbach kama serikali lengo lao kuu ni kuhakikisha usalama wa raia lakini waziri wan chi ameanza kuchukua hatua za kuruhusu biashara kati ya wakulima wa tumbaki na watengenezaji sigara.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako