• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • CMA Uganda yasema Telecom huenda ikaanza kuuza hisa zake Afrika mashariki

  (GMT+08:00) 2020-08-07 18:34:43
  Mamlaka ya Masoko ya Mitaji nchini Uganda CMA imesema kampuni ya Uganda Telecom inatarajiwa kuamua kama itafungua hisa zao kwa wafanya biashara wa Afrika mashariki. Akizungumza na wanahabari mjini Kampala katibui mkuu mktendaji wa CMA Keith Kalyegira amesema hakuna kanuni za kuizuia Telecom kuuza hisa zake kwa watu wa Afrika mashariki. Hata hivyo Bw Kalyegira amesisitiza kuwa nafasi ya kwanza itatolewa kwa raia wa Uganda kwa mujibu wa sera za serikali. Kwenye mahojiano ya hivi karibuni, MTN ya Uganda haikutaja kuhusu wawekezaji wa Afrika mashariki ila ilisema inatarajia kukamilisha mipango yake ya kuyavutia mashirika mbali mbali na wawekezaji wa kibinafsi.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako