• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maambukizi ya COVID-19 barani Afrika yazidi milioni 1.05

    (GMT+08:00) 2020-08-12 09:48:41
    Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha (Afrika CDC) kimesema, hadi kufikia Jumanne, maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika yamefikia 1,055,964, na idadi ya vifo kutokana na virusi hivyo imeongezeka hadi 23,582. Kanda ya Kusini mwa Afrika ndio eneo linaloathiriwa zaidi, ikifuatiwa na sehemu ya Afrika Kaskazini na Afrika Magharibi. Hadi sasa karibu nchi 34 za Afrika zimefunga kabisa mipaka yao ili kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako