• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Tuskys kulipa deni lao kwa asilimia 40

  (GMT+08:00) 2020-08-12 17:42:44

  Mduka yaTuskys nchini Kenya yamesema yanadaiwa jumla ya shilingi bilioni 6 bilioni na wauza bidhaa na kwamba wamekubaliana kulipa asilimia 40 ya deni hilo ndani ya miaka 2.

  Kufuatia makubaliano hayo wasambazi bidhaa wamekubali pia kuyapa kwa mkopo maduka hayo bidhaa za shilingi bilioni 1.2.

  Kampuni hiyo kwa sasa inafanyiwa utathmini na Mamlaka ya Ushindani ya Kenya (CAK) baada ya kukosa kuwalipa wauzaji wao kwa muda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako