• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Thamani ya Shilingi ya Uganda yashuka kwa asilimia 3

    (GMT+08:00) 2020-08-13 18:34:14

    Thamani ya Shilingi ya Uganda dhidi ya dola ya kimarekani imeshuka kwa asilimia 3 katika miezi mitano ya mwanzo mwaka 2020, kutokana na kuondoka kwa uwekezaji kufuatia mlipuko wa COVID-19.

    Ripoti ya sera ya fedha kwa mwezi Agosti mwaka huu iliyotolewa jana na Benki Kuu ya Uganda, imeonesha kuwa janga hilo liliwalazimisha wawekezaji wa kigeni kuondoa uwekezaji wao nchini Uganda.

    Mkurugenzi mtendaji wa utafiti kwenye benki hiyo Adam Mugume pia amesema, faida ya dhamana za serikali pamoja na mtazamo imara wa uchumi vimevutia uwekezaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako