• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya Usambazaji wa maziwa umepungua kwa lita milioni 8.24

  (GMT+08:00) 2020-08-18 19:48:57

  Usambazaji wa maziwa ulipungua kwa lita milioni 8.24 katika nusu ya kwanza ya 2020 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana wakati wasindikaji walipokea lita milioni 319.1.

  Wakati miezi mitatu ya kwanza iliandikisha utendaji wa lita milioni 173.36, robo ya pili ilishuhudia asilimia 20,7 au lita milioni 35.9 usambazaji wa chini na lita milioni 137 zilizopelekwa katika viwanda.

  Covid-19, iliyoripotiwa Kenya mwezi Machi, iliendelea kuathiri vibaya sekta ndogo na Juni ikiandikisha lita milioni 40.25, ikiwa chini kabisa tangu Machi 2017 wakati lita milioni 38.64 sambazwa.

  Kulingana na Bodi ya Maziwa ya Kenya, changamoto za usafirishaji wa maziwa pia ziliathiri wakulima.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako