• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Koeman ataka kumrejesha tena Coutinho Barcelona

    (GMT+08:00) 2020-08-25 15:55:01

    Kocha mpya wa FC Barcelona Ronald Koeman aliesaini dili la miaka miwili ambae alichukuwa mikoba ya Quique Setien aliyetimuliwa hivi karibuni klabuni hapo. Koeman pia amempendekeza nyota wa Brazil Philippe Coutinho kuwa sehemu ya mpango wake. Kiungo huyo aliye na umri wa miaka 28 amekuwa Bayern Munich kwa mkopo msimu huu. Barcelona baada ya kudhalilishwa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa kichapo cha mabao 8-2 dhidi ya Bayern Munich, sasa ipo katika kukiimarisha kikosi pamoja uongozi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako