• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Cooperative yanunua asilimia 90 ya hisa za Jamii bora

  (GMT+08:00) 2020-08-26 20:10:45

  Benki ya Jamii Bora nchini Kenya imebadilisha jina lake kuwa Kingdom Bank baada ya benki ya Cooperative kununua asilimia 90 ya hisa zake.

  Sasa mkurungezi mkuu mpya wa Kingdom Bank ni Anthony Mburu ambaye atahudumu pamoja na bodi ilioundwa.

  Cooperative imesema itatumia Kingdom Bank hasa kwa huduma za kifedha kwa wafanya biashara wadogo na wale wa wasatni, vijana na wanawake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako