• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TANZANIA: TANZANIA YAPATA MKOPO WA BILIONI 34

    (GMT+08:00) 2020-08-31 15:50:26
    Serikali ya Tanzania imepata mkopo wa masharti nafuu wa Dinar Milioni 4.5, sawa ba shilingi bilioni 33.9, kutoka mfuko wa maendeleo wa Kuwait (KFED), kwa ajili ya utekelezaji wa mradi Umwagiliaji katika Bonde la mto Luiche, mkoani Kigoma.

    Hayo yameelezwa na mkuu wa kitengo cha mawasiliano serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango, Benny Mwaipaja.

    Mwaipaja amesema mkataba huo umesainiwa nchini Kuwait kati ya balozi wa Tanzania nchini humo, Aisha Amuor, kwa niaba ya serikali ya Tanzania na Mkurugenzi mkuu wa KFED Abduluwahad Ahmed Al-Bader, kwa niaba ya serikali ya Kuwait.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako