• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Soko kuu Kigali kufunguliwa

  (GMT+08:00) 2020-09-01 20:03:16
  Soko kuu la Kigali mjini linatarajiwa kufunguliwa alhamisi wiki hii baada ya kufungwa kwa wiki mbili.

  Soko hilo lilifungwa tarehe 17 baada ya wahudumu kulegea kwenye utekelezaji wa sheria za kuzuia kuenea kwa virusi vya corona.

  Wizara ya afya imekuwa ikiwapima watu wengi wanaohudumu kwenye soko hilo tangu lifungwe.

  Wakati wa kipindi hicho maafisa wa afya walifanya ukaguzi na kunyunyiza dawa.

  Masharti mapya baada ya kufunguliwa ni pamoja na kuweka alama za kuelekeza watu watakaposimama, maneo ya kunawa mikono na kuzuia msongamano wa watu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako