• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Wakulima wa Mkoa wa Kaskazini Rwanda wamepokea mbolea na mbegu

  (GMT+08:00) 2020-09-01 20:04:29
  Zaidi ya wakulima 71,762 kutoka Mkoa wa Kaskazini nchini Rwanda wamepokea mbolea na mbegu kwa mkopo kutoka Mfuko wa One Acre -TUBURA.

  Mfuko huo ulianzishwa mwaka 2007 nchini Rwanda kama shirika la maendeleo ya kilimo linalohudumia zaidi ya familia 465,000 nchini humo.

  Huwapatia wakulima pembejeo bora za kilimo shamba kwa ununuzi wa hiari.

  Shirika hilo pia linataoa mafunzo kwa wakulima kuhusu njia za kisasa za kilimo, uuzaji wa bidhaa zao na kuwapa vifaa vingine kwa mkopo kama vile taa za jua.

  Mtaalamu wa mawasiliano na One Acre Fund Evariste Bagambiki, amesema kuwa msimu wa mwaka 2021 wakulima watapayta zaidi ta tani 3,200 za aina tofauti ya mbolea.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako