• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hong Kong yapanua mpango wa upimaji mkubwa wa virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-09-04 18:25:26

    Serikali ya mkoa wa utawala maalumu wa Hong Kong leo imeamua kupanua mpango wa upimaji mkubwa wa virusi vya Corona, ili kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo.

    Hadi kufikia saa 5 asubuhi ya leo, watu karibu laki 9.17 wameweka miadi ya kwenda kupimwa virusi vya Corona kwenye mtandao wa Internet, na sampuli laki 5.21 zimepatikana.

    Habari nyingine zinasema, hadi sasa watumishi wa afya wapatao 427 waliotumwa na serikali kuu ya China wamewasili Hong Kong, ili kuwasaidia wenzao wa Hong Kong kufanya upimaji wa virusi katika jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako