• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya Biashara ya Huduma yaonesha nia thabiti ya China kukabiliana na changamoto na moyo wa dhati wa kufungua mlango

    (GMT+08:00) 2020-09-04 19:04:20

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya mwaka 2020 si kama tu yameonesha nia thabiti ya serikali ya China katika kukabiliana na matatizo kwa sasa na changamoto katika siku za baadaye, bali pia yameonesha moyo wa dhati wa China kufungua mlango na uzingatiaji wake kwa ushirikiano wa kimataifa.

    Mkurugenzi wa Idara ya biashara ya Huduma na uwekezaji kwenye Shirika la Biashara Duniani WTO Bw. Chai Xiaolin amesema hayo jana alipofanyiwa mahojiano.

    Bw. Chai ameeleza kuwa, kwa mujibu wa tathmini ya mwanzo ya WTO, tangu janga la virusi vya Corona lienee kote duniani, mambo ya utalii, uchukuzi na usambazaji wa bidhaa yameathiriwa vibaya zaidi, lakini janga hilo pia limeleta mahitaji mkubwa katika mauzo ya rejareja, matibabu, elimu, mawasiliano ya simu na burudani kwenye mtandao wa Internet. "Kuhimiza maendeleo ya sekta ya huduma na kuweka mazingira yanayosaidia sekta hiyo kutakuwa muhimu kwa nchi mbalimbali katika kukabiliana na kudorora kwa uchumi na kutafuta ufufukaji wa uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako