• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Biashara ya digitali kuhimiza zaidi ufunguaji wa mlango nchini China

    (GMT+08:00) 2020-09-07 09:06:38

    Baraza la mwelekeo wa maendeleo ya biashara ya digitali la Maonesho ya kimataifa ya biashara ya hudumua ya China mwaka 2020 lilifanyika tarehe 5 hapa Beijing.

    Waziri wa viwanda na upashanaji habari wa China Bw. Xiao Yaqing kwenye baraza hilo amesema, uchumi wa digitali wa China umepata maendeleo makubwa. Mwaka 2019 uchumi wa digitali umechukua asilimia 36.2 kati ya pato la taifa (GDP) nchini China, ambao umekuwa nguvu muhimu ya kuhimiza maendeleo ya uchumi yenye sifa ya juu.

    Naibu waziri wa biashara wa China Bw. Wang Bingnan amesema, katika siku za baadaye, biashara ya digitali hakika itahimiza zaidi ufunguaji mlango nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako