• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jukwaa la 5 la Siku ya Afrika la Maonesho ya kimataifa ya biashara ya huduma lafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2020-09-07 18:51:01

    Jukwaa la 5 la Siku ya Afrika kwenye Maonesho ya kimataifa ya biashara ya huduma, lililoandaliwa na Baraza la viwanda kati ya China na Afrika (CAIF) leo limefanyika kwenye kituo cha mikutano ya kimataifa hapa Beijing. Kauli mbinu ya jukwaa hilo ni "kipindi baada ya janga na fursa mpya kwa Afrika".

    Akihutubia katika jukwaa hilo, Katibu mkuu wa Baraza la CAIF Bw. Cheng Zhigang amesema kuwa chini ya hali mpya ambayo uwekezaji na ugavi kutoka kwa nchi za magharibi vinapungua na janga la COVID-19 linaendelea, kuhimiza ushirikiano kati ya kusini na kusini kutazisaidia nchi za Afrika kupunguza athari za janga hilo, na pia ni chanzo kipya cha uwekezaji katika mchakato wa kuendeleza viwanda barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako