• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuwa soko kubwa zaidi la magari ya umeme mwishoni mwa mwaka huu

    (GMT+08:00) 2020-09-08 09:21:25

    Kwa mujibu wa tathmini ya soko iliyotolewa na Kituo cha Utafiti wa Magari cha Ujerumani, China itakuwa tena soko kubwa zaidi la magari ya umeme mwishoni mwa mwaka huu.

    Mkurugenzi wa kituo hicho amesema, China na Ulaya ni nguzo ya maendeleo makubwa kwa mawasiliano ya umeme, na kwamba sehemu hizo mbili zimechangia kiasi kikubwa katika kuunga mkono mawasiliano yasiyoleta uchafuzi kwa mazingira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako