• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mdudu wa hamahama aendelea kuzisakama timun kubwa Kenya

    (GMT+08:00) 2020-09-08 16:55:29

    Ttimu ya Tusker inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya imekamilisha usajili wa beki Christopher Oruchum kutoka AFC Leopards. Mlinzi huyo wa kati anakuwa wa kwanza kusaini mkataba na timu ya Tusker, utakaomuwekwa kwenye klabu hiyo kwa muda wa miaka miwili. Oruchum, aliyejiunga na Leopards miaka miwili iliyopita kutoka Thika United kwa mkataba wa miaka minne, ameagana na timu hiyo kwa makubaliano. Amesema Tusker ni moja ya klabu kubwa nchini Kenya, na kuna nafasi ya kushiriki kwenye ligi kubwa barani Afrika. Kwa hiyo anatumai kuwa atakuwa sehemu ya juhudi hizo. Tusker nao wamepoteza mfungaji bora wa klabu katika msimu uliopita Timothy Otieno, aliayehamia Zambia kuichezea klabu ya Napsa Stars.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako