• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya Waendeshaji magari watalipa nyongeza ya Sh 5 kwa lita ya mafuta ya dizeli

  (GMT+08:00) 2020-09-08 19:34:58

  Serikali imepanga kuanzisha mfuko wa utulivu wa bei ya dizeli, afisa mkuu wa wizara ya nishati amesema, ni jaribio la kwanza la kupunguza kubadilika katika bei ya mafuta yanayotumiwa sana.

  Waendeshaji magari watalipa nyongeza ya Sh 5 kwa lita ya mafuta kwenye pampu, ambayo itatumika kwa utulivu wa bei ya dizeli katika siku zijazo, amesema Andrew Kamau, katibu mkuu katika wizara ya nishati.

  Kiwango cha bei kitachapiswha katika gazette ya serikali.

  Dizeli ndio mafuta yanayotumiwa zaidi katika uchumi.

  Aidha amesema mafuta ya Dizeli inatumika kusafirisha bidhaa, kwa gari za abiri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako