• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Shoprite yatangaza kufunga matawi yake nchini kenya

  (GMT+08:00) 2020-09-09 18:26:09

  Maduka ya Shoprite yametangaza kufunga matawi yake nchini kenya kutokana na hali mbaya ya kibiashara.

  Maduka hayo ya Afrika kusini yalingia kwenye soko la Kenya miaka 2 iliopita lakini yamekumbana na kipindi kigumu kibishara na ushindani kutoka kwa maduka ya ndani.

  Mkurungezi wa Shoprite Pieter Engelbrecht amesema maduka mawili yaliosalia ni pamoja na lile la Westgate Mall na Garden City

  Shoprite, ambayo ina maduka 2,300 kote barani Afrika, na iliripoti kuongezeka kwa mauzo yake kwa asilimia 6.4 katika kipindi kilichokamilika Juni 2020.

  Lakini kwa jumla ilipata hasra aya dola bilioni 1.8 kwa biashara zake nje ya Afrika Kusini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako