• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya kimataifa ya biashara ya huduma ya China yafungwa

    (GMT+08:00) 2020-09-09 20:49:08

    Maonesho ya mwaka 2020 ya kimataifa ya biashara ya huduma ya China leo imefungwa hapa Beijing, baada ya kusainiwa kwa makubaliano 240.

    Takwimu zinaonesha maonesho hayo yalishirikisha zaidi ya kampuni 5,372 za China na nchi za nje.

    Mkuu wa Idara ya Biashara ya Beijing Yan Ligang amesema, baadaye Beijing itakamilisha zaidi jukwaa la kidigitali la biashara ya huduma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako