• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serena Williams atolewa kwenye mashindano ya US Open

    (GMT+08:00) 2020-09-11 16:15:58

    Serena William ametolewa kwenye mashindano ya US Open baada ya kuendeshwa puta na mwanadada Victoria Azarenka. Serena alianza kwa kushindo baada ya kushinda seti ya kwanza kwa 1-6, lakini baadate alitishia kupoteza seti mbili kwa 6-3, 6-3. Hii inakuwa ni mara ya kwanza kwa Victoria kuingia kwenye fainali tangu 2013. Ikiwa ni changamoto nyingine mbele yake anatarajiwa kupambana na kinda wa Japan Naomi Osaka, ambaye alimshinda Jennifer Brady kwa seti tatu. Ushindi wa Victoria pia ni wa kwanza dhidi ya Williams kwenye Grand Slam na ni wa tano katika mechi 23 za jumla walizokutana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako