• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • MIELEKA: Mpiganaji miereka anyongwa hadi kufa Iran

  (GMT+08:00) 2020-09-14 17:17:34

  Iran imesema imetekeleza hukumu ya kifo dhidi ya mpiganaji miereka Navid Afkari aliyekutwa na hatia ya kumuua mwanamume mmoja wakati wa maandamno dhidi ya serikali yaliyofanyika mwaka 2018, hatua iliyoibua shutuma kali na mshtuko kutoka kwa Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa – IOC. Mahakama nchini Iran imesema Afkari alipatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia kwa kumchoma kisu Hossein Torkman, Agosti 2 mwaka 2018. IOC imesema imeshtushwa na kutekelezwa kwa hukumu hiyo, na kwamba inasikitisha kuwa wito uliotolewa na wanariadha kote duniani na mashirika ya kimataifa imeshindwa kuzuia hatua hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako