• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiwango cha upendeleo kwa China chaendelea kuongezeka

  (GMT+08:00) 2020-09-15 18:42:44

  Ripoti ya utafiti kuhusu sura ya China duniani ya Mwaka 2019 imeonesha kuwa, upendeleo wa jumla kwa China unazidi kuongezeka, na sura ya China ikiwa mchangiaji wa maendeleo duniani inatathaminiwa sana.

  Ripoti hiyo iliyoandaliwa kwa pamoja na Idara ya lugha za kigeni ya China na Taasisi ya utafiti wa mambo ya dunia, ambayo hufanyika kwa wakati mmoja katika nchi 22 duniani.

  Kwa mujibu wa ripoti hiyo, mwaka 2019 kiwango cha upendeleo wa washiriki wa nchi za ng'ambo kwa China kilidumisha mwelekeo mzuri. Zaidi ya asilimia 60 ya wahojiwa kutoka nchi za nje wanaona kuwa hadhi ya sura ya China imeongezeka katika miaka 70 iliyopita, na kutambua mafanikio yaliyopatikana na China mpya katika kipindi hicho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako