• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikao cha 74 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa chafungwa

    (GMT+08:00) 2020-09-16 08:59:21

    Mwenyekiti wa Kikao cha 74 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Bw. Tijjani Muhammad-Bande ametangaza kufungwa kwa kikao hicho cha mwaka jana Jumanne, na kukabidhi kijiti kwa mwenyekiti anayefuata, Bw. Volkan Bozkir.

    Akihutubia kikao hicho Bw. Muhammad-Bande amesema janga la virusi vya Corona limeonesha haja ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wa pande nyingi kwenye sekta ya afya na sekta nyinginezo, na kutekeleza ahadi zilizotolewa na viongozi wa nchi na serikali za kuongeza juhudi za kitaifa na kimataifa ili kujenga dunia yenye afya kwa wote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako