• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania yaruhusu nchi 15 kutuma waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba

  (GMT+08:00) 2020-09-16 09:00:54

  Serikali ya Tanzania imeruhusu nchi 15 kupitia balozi zao kutuma waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi mkuu wa nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28.

  Uamuzi huo umetangazwa na Waziri wa Mambo ya Nje Palamagamba Kabudi kwenye mazungumzo kati yake na Bw. Manfredo Fanti, kiongozi wa Ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania. Lakini taarifa iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje ya Tanzania haikutaja orodha ya nchi hizo 15.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako